SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Queen Darleen’s Outfits On Her Wedding Ceremonies
Mitindo

Reviewing Queen Darleen’s Outfits On Her Wedding Ceremonies 

Mwanamuziki maarufu Mwanahawa Abdul Juma au wengi tunamjua kama Queen Darleen amefungua ndoa siku hizi za karibuni. Queen Darleen alikuwa na sherehe mbalimbali ikiwepo ndoa, saba pamoja na maulid.

Leo tunaongelea kuhusu mavazi haya,

Katika ndoa Queen Darleen alivaa Arabian Theme hapa alivaa gold & off white dress huku kichwani akiwa amevalia kiremba cha gold na kumalizia na statement accessories, aliamua kuchagua nude for face beat. Sisi tunaiita hii look a calm storm, hakutaka too much lakini pia hakuwa too less.

Wakati katika saba Queen Darleen alichagua Nigerian Theme, alivalia mavazi ya rangi ya carrot huku akiwa amemalizia na gele pamoja na kitupio cha purple, katika huu muonekano Queen pia alichagua calm makeup huku akiwa amemalizia na accessories ndogo ndogo.

Vazi la tatu ambalo hili alilivaa katika sherehe ya maulid, Queen Darleen alichagua Indian Theme, alivaa saree ya rangi nyekundu na gold, accessories za gold na kumalizia na makeup ya nude.

Wakati outfit ya mwisho Darleen alivaa a strapless blush pink mermaid dress akiwa amemalizia na statement jewelries huku akiwa amerudisha nywele zake nyuma vizuri na makeup ikiendelea kuwa nude.

Afromates tuambie outfit ipi kati ya hizi umeipenda zaidi?

Related posts

5 Comments

  1. look what i found

    … [Trackback]

    […] Here you can find 97161 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-queen-darleens-outfits-on-her-wedding-ceremonies/ […]

  2. poodlemix puppylife

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-queen-darleens-outfits-on-her-wedding-ceremonies/ […]

  3. briansclub

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-queen-darleens-outfits-on-her-wedding-ceremonies/ […]

Comments are closed.