SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Rayvanny’s & Faymah Outfit By Speshoz
Mitindo

Reviewing Rayvanny’s & Faymah Outfit By Speshoz 

Anaitwa Raymond a.k.a Rayvanny mwanamuziki kutoka katika label kubwa ya WCB inayo milikiwa na mwanamuziki Diamond Platnumz.  Juzi walimtambulisha msanii mpya katika label yao lakini pia walizindua wimbo wake mpya, katika hafla hio wali attend watu maarufu mbalimbali kutoka katika label hio na wengine ambao walialikwa.

Theme ya hafla ilikua kiasili yaani ki Africa zaidi, vitenge, khanga,shanga etc vilitakiwa kuhusika sana japo kitenge ndio kilitawala sana. Moja kati ya watu maarufu waliokuwepo ni Rayvanny na mama mtoto wake Fayma, ambao wao outfit yao ilichukua attention yetu kidogo

This outfit imetufanya tujifikirie hawa designer wetu huwa wanafikiria rangi, sehemu watu wanapo enda na quality? au sababu tu msanii akisema kashonewa na fulani unapata jina unardhika?

Kama wangependa ku-match mitoko tunadhani wangechagua rangi iliyotulia zaidi, hii rangi ina shout mno kwa wote kuvaa kitenge kimoja.

Hii outfit ya Ray Vanny tumeshaiona mara nyingi kwa wasanii mbalimbali tunadhani labda asingevalishwa two pieces na hio rangi imekua too much.

Tumependa gauni ya Faymah japo huu mkia sio our favorite kabisa una quality mbaya na hatujui umewekwa kwa sababu gani, Faymah ana body nzuri angepewa kitu ambacho kimemkaa vizuri angependeza zaidi.

Wabunifu wetu mnao wavalisha hawa wasanii mna hitaji kuongeza nguvu kwenye kazi zenu na mkubali kukosolewa pale mnapo kosea.

Related posts

2 Comments

  1. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-rayvannys-faymah-outfit-by-speshoz/ […]

  2. Fysio Dinxperlo

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-rayvannys-faymah-outfit-by-speshoz/ […]

Comments are closed.