SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing The Best & Worse Looks From Last Week
Mitindo

Reviewing The Best & Worse Looks From Last Week 

Week iliyopita kulikuwa na sherehe mbalimbali na watu maarufu mbalimbali walihudhuria leo tunafanya review ya baadhi ya mionekano tuliyoiona na tunatoa marks zetu

Juma Lokole – yeye alivaa hii short pants suit ya blue akiwa amemalizia na converse nyeupe, we love this look as angevaa official shoes angeonekana mwanafunzi tunadhani hii ni best choice ya viatu na vazi. amepata 8 marks kutoka kwetu.
Fahyma yeye alienda kwenye tuzo za Starq akiwa amevalia hii white Tulle Dress, tunatamani tulle ingekuwa imejaa kidogo & diferent accessories but she looked cute. 6.5 kutoka kwetu
Noel looked bomb in this all black & mesh kimono look, ni kitu cha tofauti and the fact that amejaribu na ku-pull it of ana 8.5 kutoka kwetu
Loving this look from Irene Paul, jumpsuit ni nzuri as tumechoka na magauni kwenye red carpet this was the perfect choice,tumependa kwamba ameifanya imfit vile anavyotaka sio kumbana wala kumuachia sana wakati mwingine comfort-ability is the key. 8 from us
Ommy anajulikana kwa kuwa fashionista, ni mara nyingi anaonekana amependeza, huu ulikuwa muonekano wake katika Afrimma, tumependa rangi ya suit, viatu ambacho kipo off ni hii belt tungependa kama material isingekuwa shine kiasi hiki ana 6.5 kutoka kwetu.

Related posts

3 Comments

 1. แทงบอล ufabet

  … [Trackback]

  […] Here you will find 75857 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-the-best-worse-looks-from-last-week/ […]

 2. where to buy glock 34

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-the-best-worse-looks-from-last-week/ […]

 3. article

  … [Trackback]

  […] Here you will find 78119 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/reviewing-the-best-worse-looks-from-last-week/ […]

Comments are closed.