wengi tunamjua kama amber Lulu ndio jina alilo patia nalo umaarufu na tume jaribu kutafuta jina lake hasa tume kosa iila ina wezekana lina husiana na Lulu maana amber ni jina la role model wake amber rose, zamani ilikuwa ukitaja list ya wasichana wanao vaa vibaya bongo basi amber ulikuwa huwezi kumkwepa, amber alikuja na style ya gigy money ya kuvaa utupu mitandanoni lakini ukiachana na hivyo tu style zake kimavazi zilikuwa hazi ridhishi saaana, some of her pictures hatuwezi hata kuzipost hapa lakini hizi ni baadhi tu ya ambazo zilikuwa hapana kwetu
hii hatujui kama ilikuwa jumpsuit au suruali na top ila inaonekana vibaya yaani una weza kuhisi ana fanya biashara
hapa alikuwa na jaribu ku put some cloth on mwilini mwake sio mbaya sana lakini sio nzuri kiviile pia kwa wazungu husema so/so
Ni kama ame kuwa kwa sasa au labda ame pata ule umaarufu alio kuwa ana utafuta baada ya kukaa sana nusu utupu mitandaoni au labda kuna mtu amekaa nae ame mpa ushauri, kwa sasa tuna weza kusema amber wa sasa sio wa jana A to Z sio maumivu, ana vaa na ana vutia she looks human kwa kweli
tunapenda tunacho kiona yupo smart and make up is on point
anajua ku keep na trend and ana accessorize accordingly siku hizi
hatusemi kafika tunapo pataka no lakini ame piga hatua and that is all that’s matters
tupe maoni yako kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 95475 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/revolution-style-ya-amber-lulu/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/revolution-style-ya-amber-lulu/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 92693 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/revolution-style-ya-amber-lulu/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/revolution-style-ya-amber-lulu/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 27419 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/revolution-style-ya-amber-lulu/ […]