SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Rihanna Aja Na Style Hii Ya Kuvaa Short Skirt
Mitindo

Rihanna Aja Na Style Hii Ya Kuvaa Short Skirt 

Linapo kuja swala la mitindo na urembo leave it to mwanadada Rihanna, wakati wafuasi wake wa muziki wakipiga kelel kwa kutaka nyimbo mpya redioni Rihanna yupo busy kujenga empire yake katika ulimwengu wa mitindo na urembo.

Ukitajiwa Rihanna katika ulimwengu wa mitindo vitu vingi vitakujua kichwani kimoja wapo ni trend setter na risk taker, Rihanna does it differently sio kama ambavyo wengi tumezoea tumeshamuona katika mavazi ya aina mbalimbali na amesha set trends mbalimbali ikiwepo ya over sized cloth. Basi safari hii amekuja na hii ya kuvaa short skirt kama accessory,

Mara ya kwanza kumuona Rihanna akiwa amevali hii skirt alipost picha yake hii istagram na ku-caption “When Your Skirt Is Too Short”, Riri alivaa a denim straight legs trouser na silk pajama top, akiwa kwa juu ya top  amevalia skirt hii fupi ya jeans, amemaliza muonekano wake na choker na jewelry nyingine.

Mara ya pili Riri alionekana kutoka katika club mjini London akiwa amevalia shirt nyeupe, skirt fupi kidogo ya denim ambapo juu yake akiwa amevalia a very short mini skirt, ni kama a skirt on top of a skirt amemalizia muonekano wake na plastic sandals pamoja na brown balenciaga necklace na statement Africa chain

Well kwetu tunaweza kusema only Rihanna can pull this look, as crazy as she is. Labda wewe ungetuambia unamuona mtu maarufu gani ambae anaweza kuvaa hivi na je umeipenda hii style au lah?

 

Related posts

4 Comments

  1. พนันบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-aja-na-style-hii-ya-kuvaa-short-skirt/ […]

  2. best website to buy magic mushrooms

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-aja-na-style-hii-ya-kuvaa-short-skirt/ […]

  3. Check This Out

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-aja-na-style-hii-ya-kuvaa-short-skirt/ […]

  4. Forza Football เว็บรายงาน ผลบอลวันนี้

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-aja-na-style-hii-ya-kuvaa-short-skirt/ […]

Comments are closed.