SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Rihanna Ana Jaribu Kum-copy Mr Over Size
I'm A Celebrity

Rihanna Ana Jaribu Kum-copy Mr Over Size 

Rihanna world’s slayer queen ame tuacha mdomo wazi na outfit zake hizi zisizo mtosha ambazo amezivaa ndani ya wiki moja, slayer huyu alionekana mara ya kwanza akiwa ame vaa suit kubwa kutoka kwa mbuifu Matthew Adams Dolan na akatuacha mdomo wazi like Rihanna real?

Lakini kama haitoshi siku ya pili Rihanna alionekana akiwa amevaa double denim kutoka kwa mbunifu huyo huyo Matthew Adams Dolan , hapa sasa ikabidi tujiulize tuna rudi old school au Rihanna ana jaribu kum-copy mr over size kutoka bongo

Ambacho tunaweza kuwaambia our fellow fashionistas let Rihanna wear it, msijaribu kwa kweli this is so 199 and late

 

Related posts

5 Comments

  1. how long does marijuana stay in your system

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-ana-jaribu-kum-copy-mr-over-size/ […]

  2. magic mushroom chocolate bars

    … [Trackback]

    […] Here you will find 99652 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-ana-jaribu-kum-copy-mr-over-size/ […]

  3. High 90s pink lemonade Premium Indoor Pre Rolls

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-ana-jaribu-kum-copy-mr-over-size/ […]

  4. more info here

    … [Trackback]

    […] Here you can find 84951 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-ana-jaribu-kum-copy-mr-over-size/ […]

  5. Liberty Caps mushroom

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-ana-jaribu-kum-copy-mr-over-size/ […]

Leave a Reply