SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Rihanna Apaka  Wanja Wa Sina Mume Katika British Vogue Magazine Cover
Mitindo

Rihanna Apaka Wanja Wa Sina Mume Katika British Vogue Magazine Cover 

Rihanna kawa mwanamke wa kwanza mweusi kuwa katika cover ya British Vogue Magazine September Issue, katika cover hii Rihanna amevaa hot pink Prada dress, Savage x Fenty gloves, a flower headdress and thin, huku kitu ambacho kime make headlines katika mitandao ya kijamii ni wanja wake katika hii cover, Amepaka wanja wa zamani ule ambao ni mwembamba kupita kiasi ( we hope this wont be a big trend kwenye urembo)

Wengi wameonekana kuto kuvutiwa na wanja huu ( sisi pia ), tukimaanisha tulisha pita hii phase na haikuwa nzuri, but again its a magazine cover inabidi uwe na kitu extra cha kufanya uongelewe ukizingatia ni umuhimu wa September issue katika fashion world, the brows hazija chukua attention ya sisi kusahau jinsi ambavyo hii makeup imetulia we love the ombre liquid lipstick.

Rihanna wears a wool/silk tuxedo jacket by Alexander McQueen, lace gloves by Cornelia James and tights by Jonathan Aston

Rihanna wears a floral dress by Noir Kei Ninomiya at Dover Street Market and satin and suede boots by Gianvito Rossi, Well mara nyingine tena Rihanna ame prove she can wear anything and make it look good.

Related posts