Major congratulations to Bad Gal Riri na mpenziwe Asap Rocky ambao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza, As usual Rihanna never disappoints amekuwa aki-slay maternity looks zake back to back kuanzia pregnancy revealing photoshoot, to street style & red carpets.

Lakini ambalo tumeona hivi karibuni ni yeye kurudia hii YSL jacket ambayo aliwahi kuivaa mwaka 2016, Jacket hii inauzwa Usd 15,000/- ambayo ni sawa na tsh 34,710,000/-. Mwaka 2016 alivalia na short denim pant akamalizia na strap shoes mwaka huu ameonekana kuivalia na Chicago Bulls jersey pamoja na combat trousers iliyokuwa na funky patchwork akamalizia muonekano wake na white thin-strapped heels.
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-arudia-kuvaa-jacket-hili-baada-ya-miaka-7/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-arudia-kuvaa-jacket-hili-baada-ya-miaka-7/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-arudia-kuvaa-jacket-hili-baada-ya-miaka-7/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-arudia-kuvaa-jacket-hili-baada-ya-miaka-7/ […]
water sounds
water sounds
relaxing Jazz music
relaxing Jazz music
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-arudia-kuvaa-jacket-hili-baada-ya-miaka-7/ […]