SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Rihanna Is Making The Street Her Run Way
Mitindo

Rihanna Is Making The Street Her Run Way 

Rihanna amekuwa kimya kwa muda sasa kuanzia kwenye muziki hadi kuonekana mitaani ( Inawezekana kutokuonekana ni kutokana na janga la corona). Lakini hivi karibuni ameonekana mitaani akiwa ametoka kwaajili ya shughuli zake mbalimbali na kama kawaida she is slaying the streets.

Ameonekana akiwa kwenye mavazi ya aina mbalimbali, huku akiwa ana match outfit zake na mask’s, ame-dress up katika outfit mbalimbali kuanzia full black outfit, denim look, neutral colors to two pieces colorful look.

As tunajua Riri ni trend setter inawezekana baadhi ya hizi look zikawa trend na wengine wakaamua kujaribu kuzivaa.

Well we are glad she is back and can’t wait to see more of her looks this year.

Related posts

4 Comments

 1. sig spear msrp

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-is-making-the-street-her-run-way/ […]

 2. นักศึกษารับงาน

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-is-making-the-street-her-run-way/ […]

 3. weed delivery scarborough same day

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-is-making-the-street-her-run-way/ […]

 4. boutiq vapes

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-is-making-the-street-her-run-way/ […]

Comments are closed.