SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

RIHANNA, KEKE NA MALAINE WAKIWA NDANI YA WIDE LEGS PANT
Mitindo

RIHANNA, KEKE NA MALAINE WAKIWA NDANI YA WIDE LEGS PANT 

Wide Legs Pants zina make a come back kwa kasi sababu kwa week huwezi kukosa kuona mtu maarufu kavaa trend hii na week hii wame vaa Rihanna, Keke Palmer na Melaine Brown

Melaine yeye alivaa hii suruali kutoka kwa MARCO DE VICENZO ambapo ilikua ya vyumba vyumba (plaid) na crop top nyeusi we love this look

3636B6E100000578-3687641-The_41_year_old_added_hoop_earrings_and_coral_lipstick_for_the_T-m-140_1468385745255

 

wakati Rihanna alivaa two pieces matching outfits kutoka kwa Rosie Assoulin mis-direction, amependeza in this trend3655537400000578-3693488-image-a-6_1468683807636

 

Keke Palmer yeye alichagua kuvaa a denim jumpsuit ambayo miguu yake ni wide kidogo not sure about keke though Keke-Palmer--Ice-Age-Collision-Course-LA-Premiere--07-662x919

Related posts

Leave a Reply