Wakati Puff Sleeve zikiendelea ku-make headlines seems like zitapumzika hivi karibuni na Pelvic Cutouts kuchukua nafasi yake. Watu maarufu mbalimbali wameonekena kuvutiwa na trend hii ambayo ni kuwa na cut out kwenye maeneo ya kiunoni ya vazi.
Well tumewaona watu maarufu kutoka Nchi za Nje kama Rihanna, Kim Kardashian na Bella Hadid katika hii trend lakini pia kwa hapa kwetu tumemuona model Macrida Joseph akiwa amevalia trend hii.
Rihanna alivalia hii trend in co-ord skirt trend ambapo alimalizia muonekano wake na jacket, strap sandals na accessories, Kim yeye alikuwa in off shoulder lace dress, akamalizia muonekano wake na strap sandals na shades wakati Macrida alivalia co-ord ya suruali na cropped blazer akamalizia na pumps nyeusi alizo match na bag nyeusi.
Well let us know your thoughts on the trend.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-kim-kardashian-macrida-joseph-in-pelvic-cutouts-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-kim-kardashian-macrida-joseph-in-pelvic-cutouts-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 3462 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-kim-kardashian-macrida-joseph-in-pelvic-cutouts-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-kim-kardashian-macrida-joseph-in-pelvic-cutouts-trend/ […]