Ni masaa machache yamepita tangu mwanamuziki mashuhuri ulimwenguni mwenye asili ya ki marekani kuachia makusanyo ya Soksi zake akiingia ubia na kampuni ya Stance, na ¬†kuupa jina la Rihanna Stance X ubia huo. Jina la soksi hizo zitajulikana kwa jina la “Baby Goth Punk” tayari zinapatikana katika tovuti ya stance.

embed-replacement-rihanna-stance-collaboration

holding-rihanna-stance-collaboration