Gucci Gost Leather Tote ndilo jina lililo pewa pochi hili na mbunifu wake, Likiwa lina rangi nyeusi na maandishi ya njano. Lime onekana kuwavutia watu wengi wakiwemo Rihanna, Beyonce na Marjorie Harvey.
Wame onekana sehemu tofauti tofauti wakiwa wame beba pochi hili ambalo linauzwa $2850 sawa na Fedha za Ki- Tanzania 6,270,000
Rihanna alionakana akiwa amebeba hii pochi huku ame vaa shift dress nyeupe, open fringe heels za brown na glasses
Marjorie Harvey yeye ameonekana Paris akiwa ame valia na Lace top, skin – jenas ya blue na heels nyeusi pia na glasses
Beyonce a.k.a Mrs Carter akiwa ame beba pochi hii na bandage skirt, green t-shirt crop top, open heels nyeusi kofia na glasses
Unaweza kulipata hilo pochi kupitia website inayo onekana hapo chini
Je unaweza kuspend kiasi chote hicho cha fedha kwenye pochi tu? tuambie kupitia
Instagram – afroswagga
Twitter – afroswaggatz
Facebook – afroswaggamag
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…