SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

RIHANNA NA FASHION ZAKE
I'm A Celebrity

RIHANNA NA FASHION ZAKE 

Rihanna huyu dada ana weza kuvaa chochote na aka pendeza, siku hizi mbili tatu ame tuonyesha jinsi gani ana weza aka style chochote na kikamkaa vyema

Hapa alivaa suruali ya tracksuit, sweta ambalo mkono wake mmoja umekatwa fulani, heels na miwani huwezi kataa kwamba riri ana damu ya nguo na ana jaribu, hili vazi ange vaa mwingine ange onekana kituko hasa.

14240819_117919628662823_298376860_n

 

Hapa akiwa ame vaa fur heart jacket, labda ailikua ana tuonyesha yupo in love lakini pia si kitu ambacho mtu mwingine ange waza kuvaa.14272174_111953622594817_473647614_n

Hapa amevaa denim on denim una weza kuona Riri kama ni yeye au stylist wake wana fikiria mbali, kwa mwingine ange vaa hako ka gauni tu na hizo boots au suruali juu top nyingine lakini Riri ame zi combine na imeleta muonekano mzuri.

14156227_1240589889348109_1615279981_n

 

Related posts