SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Rihanna Owning Coachella
Mitindo

Rihanna Owning Coachella 

Coachella ni tamasha la muziki na sanaa ambalo hufanyika mara moja kila mwaka, katika tamasha hili watu maarufu wengi wana hudhuria wengine waki perform na wengine wanaenda ku-show support na kuenjoy, well wengi huwa wana vaa less sio kama vile ambavyo tumewazoea kwa sababu ni music and art festival  unaweza kukutana na mtu maarufu kavaa crop top na short pants au t-shirt simple well that is not on Rihanna’s list.

Mwaka jana Rihanna owned coachella na outfit yake hii kutoka kwa mbunifu Gucci, ambapo kila mtu aliiongelea we all know Rihanna is a dare devil.

Mwaka huu pia ameonekana kutokutaka kuwa less kama wengine as tumeona outfit zake 3 na zote ni bomb

siku ya kwanza ambpo ilikuwa ni ijumaa Rihanna ali attend coachella akiwa amevalia white Chrome Hearts set, ambapo alipost picha yake na kuandika  “The 60s started it” kwamba alikuwa inspired na the 60’s fashion na ndiyo ameanza nayo. hakuishia hapa

Jumamosi Rihanna alihudhuria Coachella akiwa amevaa  Y/Project look from the label’s fall 2018 runway. Ilikuwa full brown outfit, only Ri can pull this look.

 

Jumapili Rihanna ali-attend coachella akiwa amevalia Russ Meyer crewneck and ski mask look from Gucci’s fall 2018 collection.

 

Can we all agree that Ri owned Coachella linapo kuja swala la fashion, its like she is saying going less for what? for Who?

Related posts

4 Comments

  1. Visit This Link

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-owning-coachella/ […]

  2. แทงบอล

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-owning-coachella/ […]

  3. benelli firearms for sale

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-owning-coachella/ […]

  4. toronto weed delivery

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-owning-coachella/ […]

Comments are closed.