Leo wakati tunatafuta nani kavaa nini tumekutana na Rihanna, Rihanna ameonekana mitaa ya New York akiwa anaingia studio za Milk Studios, akiwa amevaliaa stripes blazer
ambayo nyuma ipo wazi wakati ndani ya blazer amevaa a min denim skirt,
Rihanna amemaliza muonekano wake na, chocker, see trough handbag ambayo ndani yake kuna Alexander Wang X Judith Leiber Limited Edition Clutch inauzwa $ 4,995, miwani,white baseball cape na bold lipstick.
Lakini kitu ambacho kimetuvuta macho yetu katika mtoko huu wa Rihanna ni hivi viatu vyake see-through pointed heels
ambazo ni tofauti na zile see through tulizo zizoea ukiziangalia hizi ni kama zimevalishwa mfuko kwa nje ambao unaweza kutolewa lakini Rihanna being Rihanna amevaa hivyohivyo kwetu kama una aina ya viatu kama vya Rihanna vinamikanda hivyo au hata pointed heels za kawaida zenye kimkanda kimoja unaweza ku DIY yaani Do It Yourself ukapata kiatu alicho vaa Rihanna, uwe mzuri kwenye crafting na uchague mfuko ambao ni mzito kidogo kuhimili joto na mikimikiki ya movement zako usichanike.
swali je Would You Rock These Shoes?
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-see-through-heels-you-can-actual-diy/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 71129 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-see-through-heels-you-can-actual-diy/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-see-through-heels-you-can-actual-diy/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-see-through-heels-you-can-actual-diy/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-see-through-heels-you-can-actual-diy/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 83584 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihanna-see-through-heels-you-can-actual-diy/ […]