SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Rihanna Vaa Choker Yenye Thamani Ya Bilioni Moja
Mitindo

Rihanna Vaa Choker Yenye Thamani Ya Bilioni Moja 

Kama kuna kitu Rihanna A.K.A Ba Gal Riri anapenda kufanya ni kuonyesha how wealth she is, mwaka huu kwenye red carpet ya Met Gala aliulizwa anajisikiaje akajibu anajisikia expensive, who wouldn’t akiwa kama bilionea kwa sasa, mama na C.E.O wa kampuni kubwa ya vipodozi?

Well Riri amekuwa akituonyesha jewelry zake ambazo si za kawaida na ni za gharama kubwa hivi karibuni kupitia insta story yake alipost video akitembea huku amevalia pete ya Diamond na kwa wakali wa hizi mambo wanasema ni 9 Carat Diamond Ring, imevaliwa mguuni.

Well haikuwezekana kujulikana moja kwa moja bei ya hii pete lakini kwa ukubwa wa stone unajua kabisa sio pesa za madafu.

Week hii akiwa kwenye Fashion Show ya Louis Vuitton, Rihanna alionekana akiwa amevalia hii choker yenye saa ambayo inatoka katika kampuni ya Jacob & Co ambayo inaaminika inauzwa USD 670,000/ sawa na Tsh 1,610,680,000/-

Inasemekana The 47-mm white gold Brilliant Flying Tourbillon, imetengenezwa kwa 368 diamonds na imebuniwa kuvaliwa kama choker, lakini pia hii design ni collaboration kati ya Rihanna na Jacob & Co.

Lakini pia hii piece haipatikani kwa kila mtu, The timepiece-choker comes directly from the mind of Rihanna herself, according to Jacob & Co. “In preparation for the fashion event, Rihanna decided she would wear a timepiece in a completely different way,” the brand said in a statement. “She came to Jacob & Co. with the concept, like she had many times before.” Rihanna and Jacob & Co. founder Jacob Arabo went through several options before she ultimately chose this particular timepiece

Haya tuambie kwako umeipenda ipi kati ya hizi the choker au hio pete hapo kidoleni?

Related posts