Paper Bags trouser zinaweza kuwa a hit muda sio mrefu, ni suruali fulani ambazo zipo high waist lakini zina kama urembo kwa juu kama mkwiju fulani hivi, hizi suruali zina weza kuwa casual,corporate au simple dinner dates ziko very comfortable na tumeziona zime valiwa na watu maarufu mbali mbali akiwepo Rihanna yeye aliivaa katika photo shoot ya gazeti la Harper Bazaar you know Rih don’t play
Mwingine ni mdogo wake Beyonce anaitwa Solange, yeye alikuwa spotted airport na mumewe akiwa ame valia hii suruali (well we told you its a multi purpose)
Super Model Kendall Jenner alikuwa spotted akiwa ana enda lunch na mama yake na dada yake kourtney Kardashian, Kendall went for yellowish outfit being all diva and every thing
as mne ona wote wame valia simple ila una weza ku badilisha game ukawa extra with it, add some heels and everything. We will look up to this trend its very chic na comfortable
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihannakendall-solange-in-paper-bag-trousers/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihannakendall-solange-in-paper-bag-trousers/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihannakendall-solange-in-paper-bag-trousers/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rihannakendall-solange-in-paper-bag-trousers/ […]