Rita Ora ni mwanadada anae fanya vizuri katika ulimwengu wa muziki, si mtu wa bold fashion mara nyingi ame kuwa akionekana simple tu japo hupendeza mno na mavazi yake.

Hizi ndizo street style zake zilizo tuvutia hivi karibuni

Yellow Affairs japo ni mara chache kuona watu wame vaa kila kitu cha njano na waka pendeza, Rita Ora rocked it like a MVP

3674046F00000578-3700350-image-m-8_1469056239714

 

Boy friend Jeans na crop top casual style 13731355_1765057380437499_1325549204_n

Shirt Dress na thigh high socks boots 3677050700000578-3701153-image-a-13_1469097755831 Rita-Ora

wade legs pants na black crop top “black on black”

3679938100000578-0-image-a-33_1469114165371