SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Road To Holly Month Ramadhani – Stara Fashion Week 2017
Mitindo

Road To Holly Month Ramadhani – Stara Fashion Week 2017 

Tukiwa tunaelekea katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, wenzetu wame tuandalia Stara Fashion Week ambayo hii kutakuwa na vitu mbali mbali vya stara, Tukiongelea Stara tunamaanisha kujistiri kuvaa ukiwa ume funika maungo yako. Kizuri kuhusu Stara Fashion Week ni kwamba una pata kila kitu kwa wakati mmoja sote tunajua ugumu wa kutafuta skirt ndefu, mabaibui, Al Oud, Kupata Mitandao etc lakini hapa utavipata vyote bila tabu na did we mention kuta kuwa na punguzo la bei? yes kutakua na punguzo la bei kwa baadhi ya vitu.

Lakini pia utapata nafasi ya kuona collection mpya za wabunifu mbali mbali akiwepo Asia Michiko, My Hijab My Stara na wengine wengi. Hutakiwi kupitwa na hili ticket zina patikana sehemu zilizo tajwa hapo chini

Tukutane huko tupate kujua mengi na ku shop shop shop. Ijumaa Mubarak

Related posts

2 Comments

  1. best passive income

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/road-to-holly-month-ramadhani-stara-fashion-week-2017/ […]

  2. ตู้คอนโทรลสเเตนเลส

    … [Trackback]

    […] Here you can find 80480 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/road-to-holly-month-ramadhani-stara-fashion-week-2017/ […]

Leave a Reply