Mwanamuziki Roma Mkatoliki amechukua muda wake na kuandika kuhusu maisha na matumizi ya pesa, katika hoja yake kubwa aliliongelea ni kuhusu mmiliki wa kampuni za WhatsApp, Instagram,Meta na nyingine nyingi kuwa anavaa tu plain t-shirt na kula salad na maji.

Tunaelewa Roma alikuwa anajaribu kuelimisha jamii kuhusu matumizi ya pesa lakini alisahau kwamba plain hainaanishi rahisi (plain doesn’t mean cheap). Mwanamuziki Ay yeye alichukua muda wake kumkumbusha Roma kwamba T-shirt hizo sio bei ndogo.

Kweli Mark anavaa plain shirts lakini bei zake ni kubwa mno ambapo ni kuanzia usd 300 – $400 ambapo ni sawa na tsh 698,100 mpaka 930,800

Na tukumbushe Roma kwamba umaridadi huficha umasikini, sio kwasababu hatuna basi tusipendeze tuonekane tunamatatizo, kweli huitaji ku-spend much kwenye mionekano na kuishi maisha makubwa kuliko budget yako lakini pia usijiweke rafu kisa tu unamatatizo.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 15914 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/roma-mkatoliki-kuhusu-mark-zugerberg-kuvaa-plain-t-shirt/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/roma-mkatoliki-kuhusu-mark-zugerberg-kuvaa-plain-t-shirt/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 95915 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/roma-mkatoliki-kuhusu-mark-zugerberg-kuvaa-plain-t-shirt/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/roma-mkatoliki-kuhusu-mark-zugerberg-kuvaa-plain-t-shirt/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/roma-mkatoliki-kuhusu-mark-zugerberg-kuvaa-plain-t-shirt/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 71045 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/roma-mkatoliki-kuhusu-mark-zugerberg-kuvaa-plain-t-shirt/ […]