Okay rompers zimekuwepo for ages si kitu kipya lakini imeonekana watu kuchukulia serious baada ya hii kampuni kutengeneza romper za kiume,have we seen them before? Yes, Is It A bad Thing? Actually not at all kama wana vaa overall wakiwa makazini, kama fashion au gerezani kwanini tuone kitu cha ajabu kwa sababu tu kuna kampuni ime fanya hiki kitu kiwe official? we actual rooting kwa hii fashion na we can’t wait kuona watu maarufu wakivaa lakini guu la bia lihusike
Gazeti La GQ lilifanya mahojiano na mmoja kati ya founder wa hii kampuni na haya ni baadhi ya maswali muhimu tuliyo yatoa huko
Why a romper for men?
Elaine Chen: I personally love a romper for women, and we were looking for something different that didn’t already exist for guys. Daniel here was a little tired of wearing the same button down and pants so we got to talking about why we couldn’t build a better product and make a romper available for men that’s cool and fun and different and is a conversation starter at the end of the day.
So, what kind of conversations does it start?
Chen: You don’t necessarily know what the conversation will be but it will be a new conversation and may end up being a brand-new experience or a brand-new friend for you. And that’s the fun of it. We think this is a way for guys to have a new option in their wardrobe, to have fun, to feel unique, and take it wherever it goes. If they’re comfortable with themselves in it then we think that’s great.
So you made it pee friendly?
Clark: The thing that comes up for women is, well, “I hate wearing it in any kind of public setting where I’m going to have to use the restroom because I basically have to take it all the way off and it gets quite awkward.” But what we found was for guys was we could work around that problem with a zipper fly. And that solved the vast majority of public restroom issues.
Chen: Personally I am very pro rompers and every time I put one on I know I am committing to it for the day. But I do so anyway because I love the way it looks, I love the style. But recognizing that that is a hindrance for women. We figured, why not solve it for men.
Kusoma Interview nzima click hapa GQ
Tuambie wewe unaionaje Fashion Hii?
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/romphim-romper-kwa-ajili-ya-wanaume/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/romphim-romper-kwa-ajili-ya-wanaume/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/romphim-romper-kwa-ajili-ya-wanaume/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/romphim-romper-kwa-ajili-ya-wanaume/ […]