SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Rosa Lee Anahitaji Kwenda Shopping Ya Mavazi Mengine
Mitindo

Rosa Lee Anahitaji Kwenda Shopping Ya Mavazi Mengine 

Tuna kubali ni sisi afroswagga tulio washauri wasanii wengine wa hip hop wa kike Nchini kwetu wamuangalie Rosa Lee kwa sababu tulimuona yeye ni rapper lakini ana pendeza, yes anapendeza kuliko wengine ambao wana jiachia na kuvaa vibaya kwa kisingizio/kivuli cha hip hop wakati hii stage ilisha vukwa miaka mingi sasa hata wakina Queen Latifa wanavaa sexie siku hizi.

Lakini Rosa nini tatizo mama? Mbona hubadiliki? Una mwili,una penda fashion, make up lakini why kila siku ni crop top’s na legging’s,hot pants na suruali za hapa na pale? mwaka jana wote umevaa nguo za aina hii tu ukibadilisha ni suit au swim wear, tuna hitaji kukuona katika mionekano mengine, gauni, jumpsuits,skirts, nice looks sio lazima ufanyie photoshoot badilisha style basi tu surprise.

Pia ana tatizo la nywele una suka half head mara zote ni kwamba haiwezekani wewe kusuka kichwa kizima? Au umeamua kuwa female version ya madenge maana yeye ndio miaka nenda rudi ana kijiduku chake kichwani.

Rosa  you have the body & swags vitumie basi kutukomesha.

 

Related posts

3 Comments

  1. rich89bet

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rosa-lee-anahitaji-kwenda-shopping-ya-mavazi-mengine/ […]

  2. Polka dot bars review

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/rosa-lee-anahitaji-kwenda-shopping-ya-mavazi-mengine/ […]

  3. We Talk Business

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/rosa-lee-anahitaji-kwenda-shopping-ya-mavazi-mengine/ […]

Comments are closed.