SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ROSA REE,JOU JOU NYAKI & DAYNA NYANGE IN FISHNET TIGHTS TRENDY
Mitindo

ROSA REE,JOU JOU NYAKI & DAYNA NYANGE IN FISHNET TIGHTS TRENDY 

Unaweza ukawa hujawai kusikia tights zinazo itwa Fishnet au labda una zijua lakini hujui jina lake, hizi ni zile tights zenye matobo kama net ya kuvulia samaki ndio maana \ikaitwa fishnet tights.

spanx2000412867_q1_1-0._QL90_UX336_

Mara ya kwanza tulizona kwa trend setter Rihanna wakati ana perfom katika VMA’S (Video Music Awards) ambapo alivalia tights hizi na pair ya leather trouser

rihanna-vma-16-2-1472437239

lakini pia tukaja kumuona mama North au Kim Kardashian akiwa topless na jeans na hizi tights,

Kim-Kardashian-Instagram-Wolford-Kaylee-Fishnet-Tights

Tukaja kuwaoana ma blogger wengi wakiwa wamevalia trendy hii lakini kwa hapa kwetu tume waona baadhi ya watu wakiwa wame vutiwa na hii trendy kama msanii wa kike hiphop kutoka kundi la The Indusrty mwanadada rosa_ree akiwa amevaa trend hii na pair ya short black pant akiwa amevalia na blazia na net vest

15276563_1790987361172379_1255006387537182720_n

pia tume kuja kuiona kwa msanii mwingine Dayna Nyange yeye alivaa tights hizi na ripped denim jeans ambapo bloggers wengi wameonekana kuivaa trend hii kwa style hii

15306689_179441525856938_4039721448342814720_n

pia tumemuona personal stylist anaitwa joujou nyaki kutoks joujou house of style nae akiwa amevalia kama ambavyo bloggers wengi wame valia na ripped denim trouser

15338369_190675891394946_8727162349045153792_n

kwetu tume penda trend hasa ikivaliwa na ripped jeans ina leta muonekano fulani funky and fun kama Jokate alivyo sema play with your clothes

Tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts