SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Runway Report From Glitz Africa Fashion Week 2018
Mitindo

Runway Report From Glitz Africa Fashion Week 2018 

Glitz Africa Fashion Week imeanza huko Ghana, wabunifu kutoka Africa wameshiriki ku-show case collection zao, kuna vingi ambavyo tumeviona na vya kujifunza katika Glitz Africa Fashion Week tukiwa tunaelekea katika SFW 2018 let’s see wenzetu wameonyesha mitindo gani.

LUMIERE WOMEN did women of middle age and young women a favor kwa kuwapa hii collection, we love the designs na jinsi ambavyo zimekuwa styled, tuseme tu wenzetu wanatumia stylist kwenye runway zao na ndio maana kila collection inaonekana kuvutia. Tumependa turbans, accessories the designs & fabrics are wearable

Bespoke designer Mai Atafo gave us neutral vibes with a dash of colors hii collection inatukumbusha collection ya fendi spring summer 2019 ndio walikuwa na collection ambayo ilichanganya neutral colors na colors za kuwaka, well seems like Mai Atafo took notes yeye akageuza zikawa in a bespoke way. Tumependa the 80’s vibe zilivyo wekwa kuonekana kisasa.

Nonnistics wao walitupa wedding dresses goals so fresh, colors zipo perfect we love the collection

un

Tumependa hii look kutoka kwa THE HOUSE OF PAÒN, jinsi ambavyo wame mix prints uniqueness ya print yenyewe na namna ambavyo wame m-style model na hizi thigh high animal prints boots its perfect a run way look in deed

Muonekano mwingine ambao tumeupenda ni kutoka kwa mbunifu moofa designs na yeye tumependa namna alivyo cheza na fabrics na prints all you need is a stylist

Colorful Collection kutoka kwa mbunifu Roksana kutoka Nigeria, Ambacho tunajifunza hapa ni kucheza na vitambaa, kwetu tumezoea kuwavalisha au kubuni mavazi ya rangi moja wakati mwwingine we need to take risk na kutoka ouf of our comfort zone,the styling is on point japo nywele na makeup za models hazija turidhisha. Kama models wangekuwa na makeup nzuri na hair styles nzuri basi this collection ingekuwa on another level

Related posts

1 Comment

  1. แทงบอล betclic88

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/runway-report-from-glitz-africa-fashion-week-2018/ […]

Comments are closed.