SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Sababu 3 Kwanini Uvae Off Shoulder Tops
Mitindo

Sababu 3 Kwanini Uvae Off Shoulder Tops 

Kama ume-notice Off shoulder top’s huwa zinakuja na kuondoka kila mwaka, ni trend ambayo ipo miaka nenda miaka rudi. Inaweza kuwa off shoulder, one shoulder etc hii hutokana na designers na maamuzi yao ya kufanya tops hizi zi-trend kwa aina gani.

Well leo tunakuletea sababu 3 kwanini uvae au uwe nayo hii off shoulder top

  1. Huvalika mara nyingi

Kwa off shoulder tops huvalika mara nyingi iwezekanavyo iwe casual, night out, kazini etc unaweza kuvaa off shoulder top na skin jeans au bukta na raba kwa casual, ukitaka kuvaa night out unaweza kuvaa na leather min skirt na open toe heels lakini pia unaweza kuivaa kazini kama accessory nje ya shirt la kazini.

2. Comfort

Wengi hudhani kuvaa off shoulder top kuna kufanya uwe un- Comfortable lakini ukweli ni kwamba hii style ni moja ya styles ambazo zipo very comfortable. Off shoulder top nyingi huwa over sized ambapo zinakufanya uwe huru na mikono yako, lakini pia kukuwezesha kupumua vyema bila kubanwa.

3. Stylish

Hii ni dhahiri, off shoulder tops zipo tofauti na regular tops hizi zinakufanya uwe stylish na unique ikiwa wengi wanazikimbia kutokana na mtindo wake mnakuwa wachache ambao mna-dare mtindo huu na kuwafanya muonekane unique & stylish. Lakini pia ni namna ambavyo inakufanya uonyeshe a  little skin, without showing too much, which is flattering .

Well unaweza ku-shop off shoulder top hio hapo juu dukani kwetu @afroswaggastore zipo kila size. Au tupigie kwa number 0765 768 667 Kuweka order yako, lakini pia tuambie je wewe huwa una-own off shoulder?

Related posts

2 Comments

  1. psychedelic mushroom chocolate bars legal near north carolina

    … [Trackback]

    […] Here you can find 89131 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sababu-3-kwanini-uvae-off-shoulder-tops/ […]

  2. Hawaiian Psilocybe Mushrooms​

    … [Trackback]

    […] Here you can find 73621 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sababu-3-kwanini-uvae-off-shoulder-tops/ […]

Comments are closed.