SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Sababu 4 Kwanini Style Yako Ina Boha
Mitindo

Sababu 4 Kwanini Style Yako Ina Boha 

Unapenda fashion unapenda kuvaa vizuri, una mavazi mazuri lakini chakushangaza kilaunapo yavaa unaona hayakupi ile feeling ya kuwa this is it, kukupa ile confidence ya kwamba umependeza na kujishow off.

Well inawezekana unafanya vitu hivi ambavyo vinasababisha kuharibu style yako:

  • Mindset Yako

Inaweza kuwa ni mindset yako ndio inasababisha uone hujapendeza, huna ile confidence ya kuona umependeza lakini pia inawezekana mindset yako inakukwamisha pale ambapo unaona umevaa ukapendeza ukaona uko too much upunguze baadhi ya vitu kumbe ndio una haribu muonekano na kuufanya uwe regular.

  • Unavaa mavazi yasiyokutosha

Mchawi mkubwa katika mavazi ni namna ambavyo yanakukaa mwilini, hakikisha unavaa mavazi yanayokutosha yasikubane sana wala yasikuachie sana. Ukiangalia watu maarufu wengi utaona wanatumia hii sana, ukinunua vazi ambalo unaona halikutoshi hakikisha unalipeleka kwa fundi akaliongeze au kulipunguza na sio kulivaa hivyohivyo alimradi umevaa.

  • Hujui Namna Ya Ku-style Mavazi Yako

Unaweza kuwa na mavazi expensive lakini ukayavaa yakaonekana cheap na unaweza kuwa na mavazi cheap lakini ukayavaa yakaonekana expensive it’s all going down to style, namna ambavyo unapangilia mavazi yako, kama unatatizo hili hakikisha unaomba msaada kwa ma-stylist au kama ni expensive una google how to style vazi fulani na ukaangalia style inayokufaa.

  • Viatu Vyako Haviridhishi

Hii tunarudia mara kwa mara, kama viatu vyako game yake ni weak tuamini sisi kilasiku muonekano wako utaonekana mbaya, invest in good shoes, its all about the quality & not the quantity na hakikisha una viatu ambavyo ni timeless usinunue vinavyotrend kwa muda.

Related posts

3 Comments

  1. Oregon shroom dispensary

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sababu-4-kwanini-style-yako-ina-boha/ […]

  2. Dave Bolno

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sababu-4-kwanini-style-yako-ina-boha/ […]

  3. health tests

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sababu-4-kwanini-style-yako-ina-boha/ […]

Comments are closed.