SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How To Spot Cheap Quality Shoes
Mitindo

How To Spot Cheap Quality Shoes 

Kuna wakati una tamani kuvaa kiatu ukaonekana kiatu chako cha bei ghali, kuna wale wenzetu ana weza akanunua kiatu cha bei ghali lakini kila akikivaa kinaonekana cheap ndio maana mara nyingi utakuta mtu ana ulizwa umenunua bei ghali hivyo kwanini? mbona kipo kawaida sana una kuta una kaa unajiuliza kwanini? nakosea wapi? hizi ndizo sababu 6 viatu vyako vinaonekana cheap

  • The platform “jukwaa”  is too high

Kawaida ni kwamba platform ina pokuwa ndefu ndivyo ambavyo viatu vina zidi kuonekana vya bei nafuu, viatu ambavyo havina platform vina onekana vizuri na smart

54823ce2f3a26_-_mcx-shoes-2

  • Havikutoshi

hata kama ni kizuri vipi usinunue kama hakikutoshi, ndio una weza kuweka makaratasi, shoe pads lakini kama hakikutoshi utakuwa huja poteza muda wako tu bali utapoteza na hela yako. Kutembea na makaratasi kwenye viatu nayo ina hitaji moyo

54823ce3afecb_-_mcx-shoes-3

  • Vina mambo mengi “urembo mwingi”

Embellishment ina weza kuwa tricky saa nyingine kama havia rembwa inavyo takiwa, makorokoro yanaweza kusababisha kiatu chako kikaonekana cheap tofauti na vile vilivyopo simple na classic

54823ce56cfb7_-_mcx-shoes-4

  • huwezi kuvitembelea

hii huwaga ni aibu, lol una wezaje kununua viatu na kuvivaa na huwezi kuvitembelea? hata kama vina million dollar look kama huwezi kutembelea kwetu vitakuwa cheap

54823ce7a18c4_-_mcx-shoes-7

  • vina mikwaruzo

kama una nunua kiatu hakikisha hakija kwaruzika yaani ngozi haija toka, hata kama una nunua mtumba nunua vile ambavyo ngozi yake bado ipo vizuri, kama kiatu kime isha ngozi usinunue tafadhali

54823ce91d878_-_mcx-shoes-10

  • vina waka sana

kulikua na trend ya viatu venye ngozi ya plastick vina waka kama vimepakwa mafuta lakini kwa sasa ukivivaa utaonekana cheap jaribu kununua viatu vya ngozi hata kama ni ngozi feki ‘Suede leather”

54823cea9bd38_-_mcx-shoes-12

Related posts