Hivi karibuni gazeti maarufu la VANITY FAIR ambalo lilijizolea umaarufu hivi karibuni baada ya kuwa gazeti la kwanza kupata picha za baba yao wakina kim kardashian alipo badili jinsia, VANITY FAIR limetoa orodha ya wanawake Kumi (10) wanaojua kuvaa vizuri duniani, na Mke wa David Cameroon (waziri mkuu wa United Kingdom) aitwae Samanth Cameroon Ameshika kidedea na kuwa namba moja.
1) Samantha Cameroon ukiacha kuwa mke wa David Cameroon Pia ni Mshauri Mbunifu Wa Vifaa katika kampuni Iitwayo Smythson
2)Taylor Swift Mwanamuziki/Muimbaji Tylor Swift amechukua nafasi ya pili kati ya wanawake hao kumi
3)Misty Copeland Ambae ni Mchezaji mkuu katika Ukumbi wa American Ballet
4) Sophie,Countess of Wessex
5)Amal Clooney,Wakili Wa Haki Za Binadamu
6)Rihanna Mwanamuziki/Muimbaji
7)Charlotte Casiraghi,princess wa monako
8) Malkia Letizia Wa Spain
9)Mellody Hobson Meneja Wa Uwekezaji
10) Francesca Amfitheatrof, Mkurugenzi wa Kampuni ya Ubunifu Tiffany&Co
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 14414 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/samantha-cameroon-awachapa-viboko-rihanna-na-taylor-swift/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/samantha-cameroon-awachapa-viboko-rihanna-na-taylor-swift/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/samantha-cameroon-awachapa-viboko-rihanna-na-taylor-swift/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/samantha-cameroon-awachapa-viboko-rihanna-na-taylor-swift/ […]