Wakati wengi tukiangalia au tukiwaangalia first ladies kutoka Nchi za Nje la bara la Africa na kupenda wanavyo vaa tunasahau wa kwetu kutoka Africa, well miaka iliyo pita Michelle Obama alikuwa ana make headlines sana kutokana na ku-slay kwake as a first lady lakini pia Melania Trump ameonekana kutokuwa nyuma nae baada na kabla ya kuingia white house amekuwa akimake fashion statement.
Well Africa wapo pia japo nabii huwa akubaliki kwao lakini wapo na wanapendeza mno, mfano mzuri ni 2nd lady kutoka Ghana Bi. Samira Bawumia amekuwa akipendeza kila unapo muona, kizuri tulicho kipenda kutoka kwake ni kwamba anatumia local designers na materials, mara nyingi anavaa vitenge au kente kutoka Ghana ambapo anawakilisha vizuri bara letu la Africa.
Anavaa sana viremba na anaemfunga ana mpatia mno
well anavaa na mavazi mengine pia apo hit red carpet, harusini au hafla yoyote ambayo ana attend
Je kuna umuhimu wa 1st ladies wetu kutoka Africa kujaribu kuwa na mionekano tofauti mizuri?
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/samira-bawumia-2nd-lady-kutoka-ghana-ni-fashion-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/samira-bawumia-2nd-lady-kutoka-ghana-ni-fashion-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 44414 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/samira-bawumia-2nd-lady-kutoka-ghana-ni-fashion-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/samira-bawumia-2nd-lady-kutoka-ghana-ni-fashion-goals/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 71373 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/samira-bawumia-2nd-lady-kutoka-ghana-ni-fashion-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 74798 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/samira-bawumia-2nd-lady-kutoka-ghana-ni-fashion-goals/ […]