SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Samuel Zebedayo Aeleza Namna Alivyofanya Kazi Na Damian Soul
Mitindo

Samuel Zebedayo Aeleza Namna Alivyofanya Kazi Na Damian Soul 

Seems like mwaka 2018 ni mwaka ambao una mengi ya kufurahia na maombi yetu ya siku zote yana sikika tumeanza kuona wasanii wakitumia stylist katika video zao lakini tumeanza kuona pia wasanii wakitumia mavazi kutoka kwa wabunifu wetu wa hapa Nchini kwetu, tuseme tu hizi ni step ndogo ndogo ambazo zitatufikisha mahali pazuri wote kwa pamoja, ukiachana na mbunifu/ stylist kupata exposure lakini pia msanii anapata kuvalishwa akapendeza.

Damian Sol ametoa wimbo mpya ambao kawashirikisha Quick Rocka na Nikki wa pili, unaitwa Data. Katika wimbo huu Damian na mamodel’s wamevalishwa na mbunifu Samuel Zebedayo, Damian amevaa collection ya Zebedayo ambayo aliishow case katika Swahili Fashion Week 2017,

Tumefanya interview na Samuel na ametuelezea ilikuaje kufanya kazi hii

Afroswagga :Ilikuaje kufanya kazi Na Damian?

Samuel : it was a nice experience working with Damian coz honestly he is a down to earth guy Hana majivuno na ni msikivu sana!

Afroswagga : Ni Mara Yako Ya Kwanza Kumvalisha Msanii Katika Video Ya Muziki? Kama Yes Damian Alivyo Kwambia Anataka Uwavalishe Nini Kilikujia Kichwani?

Samuel : Si Mara ya kwanza coz if if you can remember kuna song inaitwa NYONGANYONGA ya CHINBEES iwas the stylist behind the NYONGANYONGA video… Pia wimbo wa  SAIDA KAROLI ule wa MOYO KICHAKA Im the designer behind G-NAKO and BELLE-9 outfits but they were styled in association with THE STYLIST behind the whole video na pia wasanii wengine huwa nawavalisha on and off…

 With Damian, his case was different, after seeing my SWAHILI FASHION WEEK 2017 collection his Mind was made up! So I did add some other few designs but sadly some of the parts were cut off due to different technicalities…

Afroswagga : Kwanini Zile Outfits Yaani Story Behind It?

Samuel : The story behind according to him is that he was impressed to the maximum, He saw some of my designs from msanii mwenziwe Annette Ngongi alias @seghito who was among my plus size models and from then the rest is history!!

Afroswagga : After This Video Kuna Nyingine Tuzitegemee?

Samuel : Yes there are some more fantastic projects
Coming

Afroswagga : Je Bei Imepanda Baada Ya Damian Kuvaa Au Zinabaki Vilevile?

Samuel : Haha kuhusu bei, it’s the same!!! Sijapandisha… Kilichofanyika ni kwamba demand ya nguo zangu ime-rise which is a very promising thing to the future of fashion, design and styling industry…

Afroswagga : una maoni gani kwa wasanii kuhusu kuvaa mavazi ya wabunifu wa nyumbani katika kazi zao

Samuel : Maoni yangu sitaya-direct kwa wasanii coz they obviously know what they want, Mimi nawaasa local designers and stylists wajitahidi sana kuwa tofauti and being the best versions of themselves and in the llong run, everything will fall into place!!! One thing I’m so sure about wasanii wetu, especially wale nimefanya nao kazi, huwa wana ufahamu mzuri na wanachokitaka and ni wasikivu incase you come up more professional idea or reason they always go for that!

Our Review: Tuliipenda hii collection toka siku ya kwanza, tumependa Damian kuvaa japo kuna small mistakes kama Damian kuonekana amebanwa sana na nguo, vingine vyote Issa Yes to us.

angalia Video Hapo Chini

Related posts

6 Comments

 1. Buy Golden Teacher Mushroom Online Queensland

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/samuel-zebedayo-aeleza-namna-alivyofanya-kazi-na-damian-soul/ […]

 2. Investment

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/samuel-zebedayo-aeleza-namna-alivyofanya-kazi-na-damian-soul/ […]

 3. Altman Greenfield and Selvaggi

  … [Trackback]

  […] There you can find 3436 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/samuel-zebedayo-aeleza-namna-alivyofanya-kazi-na-damian-soul/ […]

 4. buy magic mushroom capsules online from usa

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/samuel-zebedayo-aeleza-namna-alivyofanya-kazi-na-damian-soul/ […]

 5. 토렌트 사이트

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/samuel-zebedayo-aeleza-namna-alivyofanya-kazi-na-damian-soul/ […]

 6. We Talk Business

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/samuel-zebedayo-aeleza-namna-alivyofanya-kazi-na-damian-soul/ […]

Comments are closed.