Siku chache zilizopita Tanzania kulizizima na Tamasha kubwa la Fashion Swahili Fashion Week, Swahili Fashion Week Imetimiza miaka kumi mwaka huu na moja kati ya wabunifu waliofanya vizuri na kuonekana wa tofauti ni bwana Samuel Zebedayo, Samuel alituonyesha collection yake mpya ya So Flo Collection zikiwa zimevalina na models wa size tofauti tofauti, tumemtafuta na haya ndiyo tuliyo yapata kutoka kwake
Afroswagga: Nini Kime Inspire Collection Ya Soflo Collection?
Samuel : So Flo collection ni collection ambayo nimeidedicate kwa rafiki yangu, designer mwenzangu florinya kawa wa florinya designs… Inspiration ya #soflo ulikuja baada ya florinya kunishauri nijaribu kufanya plus size siku moja. Sikufanya kazi na florinya per ce! But how we meet is one of the reasons she believed in me… Mwaka Jana nilishiriki Peroni fashion show ambayo ilikuwa organized by the legend ally rehmtulla and on the on the casting day, it happened that florinya was among the judges…
Afroswagga: Kwanini Jina Ni Soflo Collection,Sofo Collection Inamaanisha Nini
Samuel: So Flo collection ni collection ambayo nimeidedicate kwa rafiki yangu, designer mwenzangu florinya kawa wa florinya designs… Inspiration ya #soflo ulikuja baada ya florinya kunishauri nijaribu kufanya plus size siku moja. Sikufanya kazi na florinya per ce! But how we meet is one of the reasons she believed in me… Mwaka Jana nilishiriki Peroni fashion show ambayo ilikuwa organized by the legend ally rehmtulla and on the on the casting day, it happened that florinya was among the judges…Baada ya kufanikiwa na kufanya Peroni, we ended up being friends… On and off chats and sometimes last year, I guess around June, we met again but at ally rehmtulla’s birthday party and we talked about it again… And now the rest is history… Hehe
Afroswagga: Kama ukiambiea umchague MTU maarufu avae hii collection yako ungemchagua nani?
Samuel: Kuhusu watu maarufu kuvaa Nguo zangu, you don’t have to be famous to wear my brand, you just have to be yourself… My designs cross cuts every field… And my future goal is to be dressing people from the grass root level and most especially the marginalized ones.. The ones who depend on fake stuffs in the name of cost effectiveness ….
Afroswagga: Idea ya kutumia different size of models ilikua nzuri Sana je? Ulipata wapi ili wazo na ulivyo kuwa inatafuta hawa models ulipitia ugumu gani?
Samuel: The idea of using different size models was inspired by my #rugged revolution… This is my project where by I use the cut out materials to do the patch work… In most auditions a lot of young, enthusiastic, full of hope models are left out so nikajisemea Kama I can use cut outs to make stunning outfits why should do the same to the people who are passionate about this industry.. That’s why I chose to use different models…
Na pia bonuzi alias Lilian patropa inspired me on he grand finale on SFW 2016 her walk, the curves and I was like damn, next year this is what I’m gonna do….
Kuhusu models si kupitia ugumu wowote.. I’m a social animal… So I sold my idea to the targeted people and they did bought it right away… Special thanks to swahilifashionweek team… Especially lightnes
Afroswagga: Tumekuona kwenye jukwaa LA Swahili fashion week Mara nyingi,je kipi kimekuvutia mwaka huu?
Samuel: Mwaka huu kila kitu kilikuwa on point… Although every year they really do their best.. By the way thanks to your critics… You know what I mean haha
Afroswagga: Tutegemee nini kutoka kwako mwakani?
Samuel: It it doesn’t have to be mwakani… We still have time so keep watching this space!!! Hehe
Afroswagga: chochote ambacho ungependa kuwaambia watanzania
Samuel: Ningependa kuwaambia watanzania its high time they start supporting their own brands… Wajifunze kuvaa kutokana na budget zao… I do design depending on ones budget.. Even for 10 thousand one can still dress and impress… So designers aren’t expensive, it’s that most people fail to understand what do they stand for… Designs vary, from the choice of material, time frame, how limited its edition is and the like…
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/samuel-zebedayo-is-giving-you-quick-brief-on-his-so-flo-collection-sfw17/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/samuel-zebedayo-is-giving-you-quick-brief-on-his-so-flo-collection-sfw17/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/samuel-zebedayo-is-giving-you-quick-brief-on-his-so-flo-collection-sfw17/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/samuel-zebedayo-is-giving-you-quick-brief-on-his-so-flo-collection-sfw17/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 84099 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/samuel-zebedayo-is-giving-you-quick-brief-on-his-so-flo-collection-sfw17/ […]