SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Sandra Ikeji Avunja Record Kwa Kuwa Na Bride-maids 200
Habari

Sandra Ikeji Avunja Record Kwa Kuwa Na Bride-maids 200 

Mwanadada Nigeria Sandra Ikeji ambae ni event planner lakini pia ni ndugu wa blogger Linda Ikeji na mjasiriamali Laura Ikeji amefunga ndoa Ijumaa iliyopita ambapo alivunja record ya Guiness kwa kuwa na bride-maids 200.

View this post on Instagram

#thesbond

A post shared by Sandra Ikeji (@sandraikeji) on

Record hii awali ilikuwa ikishikiliwa na maharusi Nisansala na Nalin raia wa Sri Lanka ambao wao walifunga ndoa mwaka 2013 wakiwa na bride maids 126.

AFP PHOTO/ LAKRUWAN WANNIARACHCHI (Photo credit should read LAKRUWAN WANNIARACHCHI/AFP/Getty Images)

Mpaka sasa hatujajua kama hawa bride-maids wote ni ndugu na marafiki wa Sandra au kuna wengine amewatafuta tu, imekuwa kawaida ya maharusi wengi kwa sasa kutaka kuvunja record kwa namna tofauti tofauti. Swali letu ni nani aliyetoa pesa za sare kwa hawa bridesmaids ni wenyewe au zilikuwa provided na maharusi wenyewe?

Well afromates tuambieni would you try kuvunja recod hii?

Related posts

6 Comments

  1. useful source

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sandra-ikeji-avunja-record-kwa-kuwa-na-bride-maids-200/ […]

  2. gmo cookies

    … [Trackback]

    […] Here you will find 96438 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sandra-ikeji-avunja-record-kwa-kuwa-na-bride-maids-200/ […]

  3. ufabet911

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sandra-ikeji-avunja-record-kwa-kuwa-na-bride-maids-200/ […]

  4. click this link here now

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/sandra-ikeji-avunja-record-kwa-kuwa-na-bride-maids-200/ […]

  5. Golden Teacher Mushrooms – 4 Oz

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sandra-ikeji-avunja-record-kwa-kuwa-na-bride-maids-200/ […]

  6. pop over to this site

    … [Trackback]

    […] Here you will find 15804 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sandra-ikeji-avunja-record-kwa-kuwa-na-bride-maids-200/ […]

Comments are closed.