SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

SASA NI ZAMU YA MAPOCHI MADOGO
Mitindo

SASA NI ZAMU YA MAPOCHI MADOGO 

Baada ya mapochi makubwa kukaa kileleni kwa muda mrefu sasa ime fika wakati wa kubadilika na kubeba mapochi madogo, Hii ni wiki ya mitindo huko NewYork na katika wiki hii ndo unapata kujua nini kipo kwenye kilele kwa sasa, katika pita pita zetu tumegundua wabunifu wame buni sana mikoba/mapochi madogo ika bidi tujiulize je ndio kilele cha mapochi makubwa kime fikia taamati?

Baadhi ya mapochi madogo yaliyo tuvutia katika run way

[URIS id=1461]

Related posts

1 Comment

  1. 4-aco-dmt kaufen legal,

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/sasa-ni-zamu-ya-mapochi-madogo/ […]

Leave a Reply