Swahili Fashion Week Imefanyika weekend iliyo pita kuanzia Ijumaa, Jumamosi na ime malizika jana Jumapili ya Tarehe 4/12/2016. Swahili Fashion Week inahusu kunyanyua vipaji vya wabunifu wadogo, kuendelea kuwapa support wabunifu wakubwa, kuonyesha asili yetu lakini pia kuendeleza utamaduni wa Africa.
Hawa ndio wabunifu walio showcase ubunifu wao wa kubuni urembo (hereni, mikufu nk) katika swahili Fashion Week
1) MANYATTA
walikuwa na bold accessories zilizo vutia mno katika macho yetu lakini mostly ni huu ubunifu wa body accessories ambazo tumeona zime valiwa kama vazi pia
2)JAMILA VERA
Ni kutoka Tanzania pia tume penda pieces zao lakini kilicho tuvutia zaidi ni mavazi
3)JINA LANGU NI…
tume penda walivyo tumia kitenge katika accessories zao
kama ume vutiwa nazo una weza kuwatafuta katika mitandao ya kijamii, support vya kwetu nunua cha nyumbani.
wasiliana nasi kupitia
Facebook – afroswaggamag
Instagram – afroswagga
Twitter – afroswaggatz
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…