Sote tunajua Mwanamziki Shaa ni mpenzi wa rasta, amekua akisukia rasta aina mbali mbalimara kwa mara. Japo mara nyingi hunyoa upande na kusukia rasta upande mmoja ila kwa sasa ame kuja na style ya colorful braids ambapo hizi ame zisuka kichwa kizima. Kama ni mpenzi wa rasta na hujali kuwa na rasta za rangi rangi kichwani basi iga misuko kutoka kwa Shaa Tz.
hapa shaa ame sukia rasta za udongo ambayo rangi yake kali ame paka lipstick ya purple ame pendeza mno
Bado rasta za damu ya mzee hii ni siku nyingine as una weza kuona lipstick na miwani ni tofauti na picha ya kwanza but still ame pendeza
Hapa Shaa akiwa na Rasta za blue, japo zi mara nyingi rangi hii huwapendeza watu wenye rangi kama ya Shaa ila Shaa katendewa haki na nywele hizi
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 54668 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/shaa-na-rasta-za-rangi-rangi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/shaa-na-rasta-za-rangi-rangi/ […]