Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unaelekea ukingoni na karibu tunasherehekea sikukuu ya Eid, mbunifu wa mavazi ya modest womens wear Annisa Tanzania ametoa collection yake ya Eid. Annisa ni moja ya wabunifu ambao wanajitahidi ku-stand out katika ubunifu wao na material. Tunachopenda kutoka kwake ni material anayotumia ni high quality fabrics na zina unique texture. Ukiona vazi la Annisa unajua kabisa hii ni Annisa Design
Katika collection yake hii amechagua floral prints lakini zina neutral color, rangi zilizo tulia.
Kuna Abaya,vimono na magauni
The collection is so classy & chic
Ni Eid collection lakini pia unaweza kuvaa sehemu mbalimbali baada ya hapo.
MODELS:
@nelly_kamwelu @praneetstagram @barbi3_@mimatheflower
MUA & HAIR:
@makeupbysuhaylah @monibeatsface
SET:
@kevins.events
STYLIST:
@noelgiotz
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sherehekea-eid-stylishly-na-annisa-abaya-eid-collection/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 32327 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/sherehekea-eid-stylishly-na-annisa-abaya-eid-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sherehekea-eid-stylishly-na-annisa-abaya-eid-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sherehekea-eid-stylishly-na-annisa-abaya-eid-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/sherehekea-eid-stylishly-na-annisa-abaya-eid-collection/ […]