Tunahitaji kujivunia kuwa na mbunifu kama Sheria Ngowi nchini kwetu, kama sheria akiendelea hivi basi tutafika tunapo pataka. Hii collection yake aliyo ishow case Johannesburg South Africa katika Maonyesho ya Mercedez Benz Fashion Week 2016 Is Every thing. Kuanzia mpangilio wa rangi, neatness ya mishono na ubunifu ni every thing a guy could ask for

13743535_970037843112836_816193624_n

13671973_1771353929808182_773203673_n

13687220_1209916749058896_328423011_n

13687224_919837051455096_1523832371_n