SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Shilole Na Fahyma Walivyoshindwa Kutembelea Viatu Virefu
Mitindo

Shilole Na Fahyma Walivyoshindwa Kutembelea Viatu Virefu 

Wakati inaaminika watu wengi maarufu wanajua kutembelea viatu virefu, imekuwa tofauti kwa Fahyma na Shilole ambao week hii wameonekana kushindwa kutembelea viatu hivi. Sio dhambi hata kidogo kwa mtu maarufu au sisi wengine kushindwa kutembelea viatu hivi ila huwa inaleta picha tofauti pale ambapo mtu maarufu anapoonekana anashindwa kuvitembelea hasa anapokuwa kwenye event kubwa.

Fahyma alikuwa na press conference ambapo baada ya kuisha alionekana akiteseka kutembelea viatu hivyo ikabidi ishikwe na walinzi na kwa Shilole yeye alikuwa kwenye uzinduzi wa album ya Alikiba na alikiri kuwa viatu vinamtesa.

Well tuna few tips za aina za viatu au nini cha kuzingatia unapotuaka kuvaa viatu virefu kama huna mazoea navyo.

  • Jua aina gani ya heel inakufaa

Sio kila heels zinafaa kuvaliwa na kila mtu, kuna ambao wana miguu mipana na wegine mwembamba. Kuna wedge heels, wide heels etc. Chagua heel ambayo utakuwa comfortable nayo.

  • Jaribu kuvaa platform heels
  • Jaribu kutembelea kwanza nyumbani kabla hujatoka navyo kwenda sehemu za watu
  • Chagua heels zinazoendana na uzito wako
  • Jua sio kila mtu anaweza kuvaa 6 Inches unaweza kuvaa lower heels na bado ukapendeza.

Well kama ungependa kujua kutembelea heels, soma hapa

Related posts

5 Comments

  1. Investment opportunities

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/shilole-na-fahyma-walivyoshindwa-kutembelea-viatu-virefu/ […]

  2. website here

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/shilole-na-fahyma-walivyoshindwa-kutembelea-viatu-virefu/ […]

  3. wedding cake strain

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/shilole-na-fahyma-walivyoshindwa-kutembelea-viatu-virefu/ […]

  4. Dave T Bolno and Dr Stacy Pineles

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/shilole-na-fahyma-walivyoshindwa-kutembelea-viatu-virefu/ […]

  5. https://www.timesunion.com/marketplace/article/phenq-reviews-17525542.php

    … [Trackback]

    […] There you will find 82411 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/shilole-na-fahyma-walivyoshindwa-kutembelea-viatu-virefu/ […]

Comments are closed.