SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Shilole Wore Nandy Bridal Purple Gown For Her Wedding
Mitindo

Shilole Wore Nandy Bridal Purple Gown For Her Wedding 

Mwanamziki na mfanyabiashara Zuwena A.K.A Shilole amefunga ndoa jana, kama maharusi wengine wa kiislam shilole alivalia kilemba cha purple na veil yake, akiwa na makeup nzuri kabisa kutoka kwa meezglam na kumalizia na statement dropped earrings zilizomatch na rangi ya gold iliyopo katika gauni lake

Shilole alivalia off shoulder purple dress yenye layered sleeves pamoja na urembo wa gold. Wakati shemeji yeye alikuwa amevalia kanzu nyeupe na al gala / kiremba chake cheupe.

Tunawatakia kila la kheri katika ndoa yao, harusi tulikuwa nayo.

Related posts