Viatu hivi vilikuwa introduced katika Paris Fashion Week na mbunifu Balenciaga, Well mara ya kwanza tuna viona tulikua hatuna uhakika na jinsi ya kuvivaa but thats is what fashionistas are for right? inaonekana vime wavutia wengi na kwa sasa vina valiwa sana huko kwa wenzetu
Kuna ambavyo vipo kama tight yaani una vaa tight na viatu moja kwa moja lakini vipo pia kama boots material yake ni spandex na vipo in vibrant colors, Vipo purple, Blue, pink etc. na watu ambao wame onekana kuvutiwa navyo ni
A used to be Tyga babe, Kylie Jenner yeye alivivaa vya rangi ya purple na white shift dress
Joseline Hernandez yeye alivaa vya rangi ya blue na two pieces outfit
Pixie Lott yeye alivivaa vya pink na pink swimming cost with pink hair
Tamron Hall na yeye alichagua ya purple na pink dress this is our favorite
Hailey Baldwin yeye alionekana akiwa ame zivaa za rangi ya udongo
Hawa ni baadhi ya fashionista/ street style walio zivaa pia
una weza kuzi shop hapa balenciaga spandex boots, za purple zipo sold out
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/shoeday-fahionistas-na-mapenzi-yao-na-balenciaga-spandex-boots/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 77696 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/shoeday-fahionistas-na-mapenzi-yao-na-balenciaga-spandex-boots/ […]