SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Shoes We Spotted Last Week
Mitindo

Shoes We Spotted Last Week 

Tunajua vazi halikamiliki bila ya viatu na viatu vinaweza kufanya vazi lako liwe zuri au viharibu, mara nyingi huwa tunasahau hili swala kwamba viatu vina play part kubwa katika mionekano yetu.

Week iliyopita watu maaru mbalimbali iwe ni fashionista’s, wanamuziki au waigizaji walipost picha zao katika mitandao ya kijamii na sisi lens yetu ya jicho ikaamua kupitia ni viatu gani walivaa.

Tunaanza na kusema kwasasa inaonekana watu maarufu wetu wanaangalia sana mionekano yao na wanajaribu ku-keep up na trend za Dunia, wengi tumeona wamevaa viatu vizuri lakini kiatu tulichoona kime trend ni platform heels ambazo hata huko Nchi nyingine vina trend.

Tulimuona muigizaji Irene Uwoya akiwa amevalia white suit, kutoka kwa mbunifu @jm_international_collection amemalizia muonekano wake na glasses, na accessories ndogondogo lakini kilichopendezesha zaidi huu muonekano ni hizi open toes black and gold platform heels ambazo zili match na black ya miwani na accessories za gold.

Tulimuona pia mwanamuziki Nandy ina all pink look, hot pink ina trend sana kwasasa pia mbunifu mkubwa Valentino aliwavalisha watu maarufu mbalimbali mavazi yake ya pink akiwepo Ariana Grande, well Nandy ame catch up na hii trend akiwa amevalia short dress ya pink, pink stockings akamalizia muonekano wake na pink platform shoes

Fashionista Jojo Gray nae hakuwa nyuma kuvalia trend hii ambapo yeye alivalia na short denim pant, pink t-shirt akamalizia muonekano wake na peep toe’s platorm heels

tumabie kati ya hawa watatu kwako ni style ya nani ya viatu imekuvutia zaidi?

Vercase Medusa Aevitas Platform Pumps Zinavyo Trend Kwasasa

Platform Heels Are Having A Moment

Related posts

3 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/shoes-we-spotted-last-week/ […]

 2. side effects for qsymia​

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/shoes-we-spotted-last-week/ […]

 3. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/shoes-we-spotted-last-week/ […]

Comments are closed.