Baada ya kuona Ripped Skin jeans, Ripped Boyfriend Jeans zikiwa kwenye trend kwa kipindi kirefu, ina onekana kwa sasa kinacho fuata ni ripped short pant (jeans mcharuko za pensi) haipiti siku bila kumuona mtu maarufu akiwa ame vaa kivazi hiki, mara ya kwanza tulimuona Khloe
Mara ya kwanza alikivaa na swimming cost nyeupe na heels nyeusi
Ya pili alibadilisha tu Swimming cost akavaa nyeusi
Tiwa Savage hakutaka kuitwa nae ameonekana kuvalia hii pant na off shoulder top
Jokate Mwegelo huyu huwa hapitwi na Trend, alionekana kavaa pant hii na long sleeves crop top, heels za silver na kofia
Aika Navy kenzo yeye akikua casual alivalia pant hii na raba na top ya nyavu
Je umeipenda trend?
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/short-ripped-pants-kutoka-kwa-jokatetiwakhloe-na-aika-navy-kenzo/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/short-ripped-pants-kutoka-kwa-jokatetiwakhloe-na-aika-navy-kenzo/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/short-ripped-pants-kutoka-kwa-jokatetiwakhloe-na-aika-navy-kenzo/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/short-ripped-pants-kutoka-kwa-jokatetiwakhloe-na-aika-navy-kenzo/ […]