SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Simple And Elegant Are The Two Words For Mgece Cici Eid Collection
Mitindo

Simple And Elegant Are The Two Words For Mgece Cici Eid Collection 

Mbunifu wa mavazi ambae sisi tunamuita Low Key baddest  designer Mgece Cici ametoa collection yake ya Eid mwaka huu na tulivyo iona tulipata maneno mawili tu ambayo ni simple & elegant.

Kama ambavyo tunajua Mwezi Mtukufu unaelekea mwishoni na wengi tunapenda kusheherekea siku hii tukiwa na mavazi mapya, na wabunifu wengi huwa wana- release collection zao za Eid ilikuwarahishia wale ambao wanapenda kuvaa mavazi mapya katika sikukuu ya Eid moja kati ya wabunifu hao ni Mgece Cici ambae yeye ame debut collection yake ikiwa na mavazi aina ya kaftan.

katika Collection hii kuna rangi tofauti tofauti ambazo zina kupa nafasi ya kuchagua uipendayo hapa Mgece Cici akiwa ana model kwa collection yake mwenyewe akiwa amevalia peach kaftan yenye mchanganyiko wa kitambaa cha animal print, tumependa alivyo style na hio rope kichwani.

Vazi lake lingine ni hili ambalo amechagua rangi ya lime, hii ni kijani mpauko haiwaki sana yenyewe ipo calm na ina faa kuingia nayo popote hii ameongezea na urembo mweusi mikononi na belt inayoendana na kitambaa cha nguo.

Every woman needs a off white cloth on her wardrobe, Mgece Cici hapa akiwa amebuni gauni yenye balloon  hands huku shingoni kukiwa na urembo wa maua, we love this collection na kama ambavyo tumesema collection hii ni simple na elegant.

Kupata mavazi haya mtafute mbunifu huyu kupitia Instagram account yake @mgece__cici__designs

Related posts

2 Comments

  1. Changa DMT For Sale New South Wales

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/simple-and-elegant-are-the-two-words-for-mgece-cici-eid-collection/ […]

  2. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/simple-and-elegant-are-the-two-words-for-mgece-cici-eid-collection/ […]

Comments are closed.