Single Ladies ni tamthilia iliyo anzishwa 30/5/ 2011, inahusu vichekesho (comedy), maisha, mapenzi pia mitindo katika hii tamthilia wahusia wakuu ni wadada watatu ambao n Raquel, Keisha na April hawa ni wadada wana jituma hasa katika kazi zao lakini maisha yao kimapenzi hayako vizuri mara kwa mara wame kuwa wakipenda sehemu sio na kuachana na wapenzi wao kubaki Single tena.
Kwanini Single Ladies? Ukiachana na hio mikasa yote katika hii tamthilia hawa wadada wana vaa hashwaaaa hakuna vazi ambalo utaliona wame vaa ukalichukia au kukosoa kama wewe ni mpenzi wa Mitindo tafuta hii series na tushukuru baadae.
Angalia hapa kidogo kuona yaliyomo kwenye tamthilia hii
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 57554 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/single-ladies-tamthilia/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/single-ladies-tamthilia/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/single-ladies-tamthilia/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 28954 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/single-ladies-tamthilia/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/single-ladies-tamthilia/ […]