Swalha Msabaha ni Fashion Stylist, Image Consultant, Influencer na Personal Shopper kutoka Tanzania, na tukiwa tunaelekea katika mapumziko pamoja na mwisho wa mwaka Swalha ana kuletea Sip & Shop na yeye lakini wakati huo huo ukijifunza vitu mbali mbali kutoka kwake
Swalha ame tuelezea kiufupi kuhusu Event Hii ambapo alisema “Swalha Style And Beauty Workshop ni warsha ambayo ina lengo la kujumuisha watu pamoja na kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa styling, beauty fashion kwa ujumla, na kusaidia watu kuongeza kujiamiani kwa kile wanacho chagua kukikivaa katika maisha yao ya kila siku. Pia inatoa nafasi kwa makampuni ya bidhaa/maduka kuonyesha bidhaa zao wakati wa warsha hio.
It’s the Holiday season,means it’s time to party!! Super Excited to Announce our next #swalhasstyleandbeautyworkshop the SIP and SHOP Edition this sunday December 11th from 5-9pm @elementsdar ,hosted by @swalhamsabaha Come through for the best shopping experience ,MAKE UP SESSION with @makeupbyjojo ,good music ,food ,drinks and some great insights/Advice from Tanzania’s leading female Stylist on personal shopping ,personal style ,upcoming trends and so much more!! Let’s Learn ,Network and Have some Fun!! Dress code- Classy /Stylish Powered by @elementsdar Creative @karolynklaire Photographer @ossegrecasinare See y’all there🍾 #SwalhasStyleAndBeautyWorkshop #SipAndShopWithSwalha #ShopInStyle #SipAndShopEdition
kama utakuwa una taka kuwasaliana nae na kuonyesha bidhaa zako fuata maelekezo hapo chini
We have few limited space for Women and Men Brands/Stores to showcase their products during the workshop,for contact please call +255718160975 Email :- swalhachake@yahoo.com Tuna nafasi chache kwa watu kuonyesha Biashara zao wakati wa workshop,kwa mawasiliano piga namba +255718160975 Email :- swalhachake@yahoo.com Graphic designs @rd.sande 🙌🏾
Warsha itafanyika juma pili ya Tarehe 11/12/2016 kuanzia saa kumi na moja hadi saa tatu usiku katika ukumbi wa element Dar Es Salaam
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…