Kwetu tumezoea ukiwa mjamzito basi ni madera madera na wewe, sio mbaya inawezekana ndio tunakua comfortable na haya mavazi, lakini kwa wenzetu wengine ni tofauti inawezekana sio kila siku lakini kilawanapo pata muda wa ku-slay wanaslay kisawasawa na ujauzito wao.
Leo tunamuona Fashionista kutoka South Africa Siyanda a.k.a Siya Bunny akiwa ana slay na ujauzito wake. Vitu ambavyo tume-notice na kupenda kutoka kwake
- Hair do’s zinakuwa on point – ana make sure nywele zake zipo vizuri
- makeup – ana hakikisha pia sura yake imepakwa makeup na kukaa vyema
- Shoe Choice – ikiwa wengi wetu tunapumzisha heels kwenye kipindi hiki, Siya yeye mara nyingi aneonekana nazo.
Well kama umjazito na ungependa kuwa wa tofauti basi mtafute instagram @siyabunny awe- inspiration kwako.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/siyabunnys-serving-maternity-style-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/siyabunnys-serving-maternity-style-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 47792 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/siyabunnys-serving-maternity-style-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/siyabunnys-serving-maternity-style-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/siyabunnys-serving-maternity-style-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/siyabunnys-serving-maternity-style-goals/ […]