Skater skirt ni skirt ambazo zipo muda mrefu lakini huja na kupotea, skirt hizi zina weza kufaninishwa na jeans kwa maana zinaweza kuvaliwa msimu wowote, mtu wa size yoyote na mahala popote na ukapendezea ila tu ni jinsi ambavyo unazivaa. Zipo za aina nyingi na namna nyingi hizi ni namna chache tu ya jinsi ambavyo unaweza kuvaa skater skirt.
Wakati wa baridi
unaweza kuzivaa na uweza soksi, taiti, sweta au shati la mikono mirefu vyote vinaenda na utapendeza ni wewe na uwezo wako wa kuyakinisha rangi.
Wakati wa kutoka mitoko mbali mbali
inategemea na mtoko unao toka ni mchana au usiku lakini unaweza kuzifanya ziwe katika aina ya mtoko wako unaweza kuvaa na viatu vya aina yoyote virefu,vifupi,boots au raba.
watu wa size mbalimbali, skater skirt zinaweza kuvaliwa na warefu,wafupi, wanene au wembamba waka pendeza
msimu wa joto:
unaweza kuvaa na crop top, tank top au shati nyepesi
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…