SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Skirt Over Pants
Mitindo

Skirt Over Pants 

Hii ni trend nyingine ambayo imechukuliwa kutoka miaka ya 80 na 90 ambapo suruali ilikuwa inavaliwa ndani na skirt au gauni kwa juu, inaonekana trend inarudi as tumewaona watu maarufu mbali mbali wakiwa wamevaa style hii.

The famous one ni hii suruali ya jeans ambayo imebuniwa na kiji-skirt kwa juu, hii ni rahisi as imebuniwa humo kwa humo na tumeona watu maarufu kama Monica Brown, Ryan Destiny na Priyanka Chopra wakiwa wamevaa as street style

Priyanka yeye alivaa hii suruali na skirt na t-shirt nyeusi na leather jacket nyeusi amemaliza muonekano wake na red boots na glasses huku akiwa ame make statement na a P cup on hand (Priyanka Chopra Cup)

Wakati Ryan yeye aliamua kuipa a sexy feeling kwa kuvaa a one hand statement crop top huku akiwa amemalizia na pumps nyeusi ( we love this look)

Monica Brown yeye ameamua ku layer it as amevaa a yellow hoodie na trench coat, ame malizia muonekano wake na blue socks na glasses ( we must say this is a daring look from all)

Lakini pia tumeona fashionista’s wakiwa wamevaa trend hii kivingine zaidi

Fahionista @the_cocopolitan yeye aliamua ku-layer jeans yake na pleated skirt, blue shirt na red boots, we like this look but utaivaa wapi? bado tunafikiria.

Stephanie Coker-Aderinokun muigizaji kutoka Nigeria na yeye ameonekana kuvalia trend hii tumependa rangi alizotumia so calm, nicely & smart.

tuambie wewe hii trend imekuvutia au lah?

Related posts

1 Comment

  1. เว็บตรงไม่ผ่านเอเย่นต์ 2023

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/skirt-over-pants/ […]

Comments are closed.