SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Slayed Or Played Featuring Hamisa Mobetto, Flaviana Matata, Elizabeth Michael And Many More
Mitindo

Slayed Or Played Featuring Hamisa Mobetto, Flaviana Matata, Elizabeth Michael And Many More 

Mwezi wa kumi ndio unaishia na kama tunakaribia kuumaliza mwaka hivi, season ya kujua nani amevuna kipi mwaka huu kati ya mbivu na mbichi inakribia kufika well kabla hatuja fika kwenye kujua overall ya mwaka mzima ebu tujue kwanza nani ame slay na nani ame play katika week hii ya kumaliza mwezi wa kumi kuelekea mwezi wa kumi na moja.

Hamisa Mobbeto yeye alikuwa in royal vibes, hii outfit imetupa vintage vibes ile miaka ya 20’s to 50’s kasoro ya kwake ina rangi tumezoea kuziona picha za aina hii in black & white. Alivaa a vintage off white dress, akaongezea na belt ya brown, amemalizia muonekano wake na bracelet, black pumps na fascinator. She looked dapper with her perfect makeup on.

 

Flaviana Matata makes modeling hard to this young generations, tumependa hii outfit kutoka kwake week hii, akiwa amevalia a blue sweater, black skater skirt na thigh high black boots huku akiwa amemalizia muonekano wake na miwani na bag,love this look especial kama kuna weather ya baridi na hutaki kuwa covered sana a sexy winter look.

Elizabeth Michael amekuwa kimya kwa muda kidogo anaonekana na kupotea, week hii tumemuona katika hii silver high slit dress tunadhani alikuwa ana attend on a wedding ( tunajua how she slays as a wedding guest), amemaliza muonekano wake na sliver strap sandals na pixie cut hair style. who said adding a little weight would stop her from slaying?

Queen Darleen proved us wrong this week, tumependa hii outfit kutoka kwake a mustard yellow two set outfit ambayo alimalizia na cage heels nyeusi, mkoba mweusi na miwani, tunapenda kwamba she is taking baby steps and hopeful tutakuwa tunaona looks za namna hii mara kwa mara.

Radio Presenter  Lil Ommy week hii ameingia katika list yetu ya walio slay akiwa amevalia a blue long sleeve t-shirt akiwa amemalizia na kofia ya blue, white trouser na blue shoes so coordinated & stylish. love the look.

 

Ambae tumeona ametuangusha week hii ni Lava Lava kutoka WCB kitu ambacho tunaweza kusema kwake ni Stylist’s please take the wheel in Lavalava Wardrobe a brother needs fashion direction

Related posts

4 Comments

  1. look at here now

    … [Trackback]

    […] Here you can find 72098 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-featuring-hamisa-mobetto-flaviana-matata-elizabeth-michael-and-many-more/ […]

  2. สร้างเพจ Facebook

    … [Trackback]

    […] Here you will find 3717 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-featuring-hamisa-mobetto-flaviana-matata-elizabeth-michael-and-many-more/ […]

  3. superslot เครดิตฟรี

    … [Trackback]

    […] There you can find 20356 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-featuring-hamisa-mobetto-flaviana-matata-elizabeth-michael-and-many-more/ […]

  4. check my source

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-featuring-hamisa-mobetto-flaviana-matata-elizabeth-michael-and-many-more/ […]

Comments are closed.